wakuu, kweli ninashida na hiyo kitu na wala sitanii, mwenye nayo anicheki bac ili tufanye mambo!

habari gani wana jf? Nahitaji kununua monitor(chogo) kwa ajili ya cpu yangu , bajeti yangu ni tsh 20,000. Kwa yeyote mwenye nayo tuwasiliane kupitia 0752490238. Mimi nipo Dar. Ahsanteni
ha ha ha! Acha jokes zako shemeji, naomba bac unisaidie kutafuta kama kuna m2 anayo uko home.