Kwa anayehitaji mafuta ya mbegu za ubuyu

Kwa anayehitaji mafuta ya mbegu za ubuyu

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
14,593
Reaction score
5,583
Wadau,napenda kuwakumbusha kwa mara nyingine kuwa mafuta ya mbegu za ubuyu yapo na bei yetu ni ileile lita 1 ni Tsh 35,000/=
Kwa wale ambao walishawah kuyatumia wanaweza kueleza jinsi yalivyowasaidia,ila kiufupi ni kwamba mafuta haya yanasaidia kutibu magonjwa kama vile shinikizo la damu,vidonda vya tumbo pamoja na kuondoa koresto mwilini,pia unaweza ukapaka kwenye ngozi kwani licha ya kufanya ngozi iwe laini,yanatibu maradhi yatokanayo na ngozi.
Kwa mawasiliano piga simu namba 0713890628-dar.au 0756251187-kwa dodoma
Kwa waliopo dar es salaam mzigo utaletewa hadi hapo ulipo
 
Back
Top Bottom