Wapi naweweza knunua simu online

Wapi naweweza knunua simu online

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
Habari ndg,nataka kununa simu used online kama samsung note 2 na zingine,lakin cjui n website gan ambayo wanakua waaminifu na hakutokua na usumbufu au utapeli wowote ule,kwa anaejua nijuze au nipie link ntaifanyia kaz,asanten
 
uki google unapata majibu,kuna amazon ila kama upo tz sijui utaratibu wake ukoje.kuna ebay,kuna gumtree.com
 
uki google unapata majibu,kuna amazon ila kama upo tz sijui utaratibu wake ukoje.kuna ebay,kuna gumtree.com

Nipo tanzania na nataka kutoka nje bt used,ila sina uzoefu wa kuagiza vitu kutoka nje,,maelekezo mkuu
 
Back
Top Bottom