oziNenda pale maeneo ya Victoria wanapouza mbwa, kama hautapata basi watakufanyia mpango uwapatae maana wale wanajua deals zote za mbwa hapa dar. Ila kuna kiasi utawalipa kwaajili ya kukutafutia.