Nakupa tablet,nipe laptop

Nakupa tablet,nipe laptop

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
nakupatia toshiba tablet t100 ina wifi,usb cable,camera@movie
ukigoogle utaipata gb16,natmia cm ndo mana cjaweka picha.
Tubadilishane na kompyuta ila iwe inasoma cd,nimeamua ivo coz ninazo 2 na naitaji tena kompyuta kwa kazi zangu.
 
mkuu majuzi niliona kama umeiweka sokoni!haijachukuliwa!
 
Mkuu ulinipa namba ILA hupatikani,nipe namba nikupigie tufanye biashara.
 
nakupatia toshiba tablet t100 ina wifi,usb cable,camera@movie
ukigoogle utaipata gb16,natmia cm ndo mana cjaweka picha.
Tubadilishane na kompyuta ila iwe inasoma cd,nimeamua ivo coz ninazo 2 na naitaji tena kompyuta kwa kazi zangu.

inatumia OS gan?ina nch ngapi?naweza kufanya na wewe bussinesa
 
nakupatia toshiba tablet t100 ina wifi,usb cable,camera@movie
ukigoogle utaipata gb16,natmia cm ndo mana cjaweka picha.
Tubadilishane na kompyuta ila iwe inasoma cd,nimeamua ivo coz ninazo 2 na naitaji tena kompyuta kwa kazi zangu.

mkuu umefanya nn mbona umepigwa bann
 
Back
Top Bottom