Natafuta Fundi wa mashine za Ujenzi

Natafuta Fundi wa mashine za Ujenzi

Kidatu

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2008
Posts
1,574
Reaction score
350
Habari zenu wana JF.

Nina mashine za kufanyia marekebisho ya barabara (Road works machine) na mashine zingine za ujenzi wa majumba, ninatafuta fundi mzuri na mwaminifu atakayeweza kuzifanyia service na kuziangalia vizuri kwa malipo tutakayokubaliana.

Tafadhali kama kuna fundi ama mtu yeyote anamjua fundi mzuri na mwaminifu naomba anipatie namba yake.

Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom