SHAMBA LINAUZWA (Mkuranga)

SHAMBA LINAUZWA (Mkuranga)

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
523
Reaction score
107
SHAMBA LINAUZWA

Shamba linauzwa lina heka 4 na bei Tshs milioni 4.Shamba lipo MKURANGA na lipo ktk eneo zuri na kuna bonde na upo mto mdogo unapita karibu na hapo ila halijalimwa kitu.Eneo ni zuri na kuna rutba nzuri sana kwa kupandisha mbaazi,matikiti,mihogo,migomba ya ndizi na vitu vingi hata mpunga.Kwa muhitaji unaweza kutuma ujumbe humu na tukaweza kuelekezana vizuri zaidi.Sababu kubwa ya kuliuza ni matatizo ya kipesa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom