Nyumba inauzwa Kibaha kwa Mfipa(upande wa chuo)
Vyumba vitatu(master zipo 2)
Seble na jiko+choo cha public ndani
Eneo ni 23×33
Umeme upo, maji yapo
Km 2 toka moro road
Ndo inafanyiwa finishing
Ipo...
Hii nyumba inauzwa kwabei nafuu sana..ipo wilaya yamkuranga kijiji cha mwanadilatu iko kalibu sana na barabara.kwakutokea kitonga dar es saam kufika ilipo nyumba nidakika10 kwa bodaboda..nyumba...
Nahitaj vitunguu maji vilivyokauka vizuri kwa ajili ya kusafirisha.
Kwa sasa nitachukua gunia/net 110 ila ikifika nitarudia ingine. So nahitaj wale wenye kulima kitunguu ya kutosha na sio wa...
Habari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo Kibaha yote isipokuwa Mlandizi na Bagamoyo. Ni pm
Nahitaji kufahamu mahali na bei nzuri ya gaming laptop. Specs ziwe;
PC ya MSI
Specs i7, ram 32 ddr4, ssd 512, Gen 11
Invidia gforce RTX 3060 au zaidi
Graphics card 6gb au zaidi
Hata brands za...
Nauza vioo vya saloon viko viwili bado vipya kabisa ni vikubwa kila kioo kimoja nauza shilingi 100000 napatikana mwananyamala kwa kopa namba yangu ya simu ni 0716647360
Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa.
Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda...
Hama2Bebe ni kampuni inayotoa huduma za kisasa za kuhama na suluhisho za kupanga nyumba kupitia nguvu ya teknolojia. Jukwaa letu la ubunifu linawaruhusu watu binafsi na biashara kuomba huduma za...
Wakuu kwa wale wenye uzoefu katika shughuli za ujenzi hebu tusaidiane hapa. Nahitaji kujua wapi naweza kununua nondo imara kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja na bei yake ikoje kwa tani...
Habari za kazi wadau,
Naomba kama utakuwa unauza au unarafiki anauza gari nzuri iwe engine ndogo na neat condition. Gari inayohitajika iwe kati ya Premio new model, Allion, Vits New model...
Habari, nauza hi Yamaha boat engine kwa bei poa kabsa ikiwa kweli hali nzuri karibia mpya.
Yamaha 115
Fuel injection
Fourstroke
Petrol
115hp
Bei 11m negotiable mapatano kdg
Pia nakubal exchange...
mwenye nazo anicheki whatsap faster 0766302495. sharti iwe au ziwe zako au rafiki yako ofa yangu n 300k kwa kila TV kampuni yoyote iwe HD. hela ipo mfuko wa shati
Nicheki dm kwa simu yoyote mbovu kama inahitaji software au hardware
1. Umesahau password
2. Simu yako imevunjika kioo
3. Unahitaji update kwa ajili ya simu yako
4. Matatizo ya network
5...
Habari zenu,
Nahitaji kiwanja kwa Tsh 1.5 - 2m mkoa ya Tanga kwenye mitaa kama Duga, Mwahako, Tangasisi, Mwang'ombe, Mikanjuni, Mwanzange, Kasera, Msambweni, Magaoni, Mwambani, Mwakidila, Donge...
NATAFUTA WAIMBAJI WA LIVE BAND KATIKA BAA YANGU MKOANI DSM
Ninahitaji Mtu/watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover,kavasha,dancersau hata wachekeshaji
au karaoke.
Malipo ni kwa makubaliano...