Faida za kusajili Jina la Biashara (Business name)

Dec 7, 2012
22
20
Kuna utofauti kati ya kampuni na jina la biashara (business name).

Jina la biashara ni jina la utambulisho ambalo umeamua biashara yako ifahamike na kuitwa.

Mfano ni majina ambayo wengi wanaandika kwenye maduka yao. Yale ni majina ambayo wameamua duka na biashara zao zitambulike

Hivyo Business name ni jina tu la kufanyia biashara (Brand name).

Kampuni ni kama mtu, ina uwezo wa kumiliki mali, kudai na kudaiwa.

Jina la kampuni na kampuni ni kitu kimoja, maana kampuni hauwezi kuwepo bila kupewa jina ambalo itasajiliwa na kutambuliwa kwa hilo.

Faida za kampuni utaangalia hapa

Sasa wenye mamlaka ya kusajili majina kwa mujibu wa sheria ni Brela.

Na usajili unafanyika kwa njua ya mtandao online. Check Brela

1. Faida ya kwanza ni kuwa unafanya jina lako liwe rasmi (unarasimisha).
2. Inakupa uhakika kujua kuwa wewe ndiye unayemiliki hilo jina. Na kwamba hautumii jina la mtu mwingine. Kwababubu mtu anaweza kukushtaki kama unatumia jina lake alililosijali.

Maana kuna watu wanatumia majina bila kusajili baadaye wanagundua kuwa kuna mtu mwingine anatumia na amesajili kabisa.

3. Inakupa mamlaka ya kisheria kumkataza mtu mwingine kutumia jina lako bila idhini yako.
4. Inakuwa ni rahisi kuaminiwa na mteja hasa akiona uko rasmi na sio kama watu wa mitaani tu.
5. Unaweza kusajili Account ya Bank lenye hilo jina ulilosajili. Ili mteja anapokulipa ajue analipia sehemu sahihi na sio kuona analipwa mtu binafsi wakati amehudumiwa kwa jina la biashara.
6. Namba za kupokelea pesa kutoka kwa wateja pia zinaweza kusoma hilo jina ulilolisajili.
__
GHARAMA
Mpaka muda huu BRELA gharama ya usajili ni 20,000 tu. Na unaweza kusajili via online kwenye mtandao wao wa Brela Ors. brela.go.tz

MAHITAJI
1. Jina unalotaka kusajili
2. Namba yako ya Nida (pia kama mko wengi mnaweza kusajili Jina kwa category Partnership)- kila mtu na namba yake ya nida
3. Emails :
4. Phone numbers
5. Location ya office, na location ya mmiliki(wamiliki)

SIKU UKIHITAJI KUSAJILI JINA AU KAMPUNI

Tunafanya consulting (kusaidia) kusajili business name yako brela kwa HARAKA NA UFANISI zaidi. Hivyo siku ukihitaji usisite kututafuta. Whatsapp link ni BOFYA HAPA kuchat nasi moja kwa moja via whatsapp
Mawasiliano

0754210627
Info@kingbest.co.tz

NB: HATUNA UHUSIANO WOWOTE NA BRELA. SISI NI BUSINESS CONSULTANTS.
JINSI-YA-KUFUNGUA-KAMPUNI-1%20(1).jpg
 
Unaweza kusajili Account ya Bank lenye hilo jina ulilosajili. Ili mteja anapokulipa ajue analipia sehemu sahihi na sio kuona analipwa mtu binafsi wakati amehudumiwa kwa jina la biashara.
6. Namba za kupokelea pesa kutoka kwa wateja pia zinaweza kusoma hilo jina ulilosajilia
Nipatie taratibu hata kwa kifupi mkuu za kufanya hivyi
 
Kuna utofauti kati ya kampuni na jina la biashara (business name).

Jina la biashara ni jina la utambulisho ambalo umeamua biashara yako ifahamike na kuitwa.

Mfano ni majina ambayo wengi wanaandika kwenye maduka yao. Yale ni majina ambayo wameamua duka na biashara zao zitambulike

Hivyo Business name ni jina tu la kufanyia biashara (Brand name).

Kampuni ni kama mtu, ina uwezo wa kumiliki mali, kudai na kudaiwa.

Jina la kampuni na kampuni ni kitu kimoja, maana kampuni hauwezi kuwepo bila kupewa jina ambalo itasajiliwa na kutambuliwa kwa hilo.

Faida za kampuni utaangalia hapa

Sasa wenye mamlaka ya kusajili majina kwa mujibu wa sheria ni Brela.

Na usajili unafanyika kwa njua ya mtandao online. Check Brela

1. Faida ya kwanza ni kuwa unafanya jina lako liwe rasmi (unarasimisha).
2. Inakupa uhakika kujua kuwa wewe ndiye unayemiliki hilo jina. Na kwamba hautumii jina la mtu mwingine. Kwababubu mtu anaweza kukushtaki kama unatumia jina lake alililosijali.

Maana kuna watu wanatumia majina bila kusajili baadaye wanagundua kuwa kuna mtu mwingine anatumia na amesajili kabisa.

3. Inakupa mamlaka ya kisheria kumkataza mtu mwingine kutumia jina lako bila idhini yako.
4. Inakuwa ni rahisi kuaminiwa na mteja hasa akiona uko rasmi na sio kama watu wa mitaani tu.
5. Unaweza kusajili Account ya Bank lenye hilo jina ulilosajili. Ili mteja anapokulipa ajue analipia sehemu sahihi na sio kuona analipwa mtu binafsi wakati amehudumiwa kwa jina la biashara.
6. Namba za kupokelea pesa kutoka kwa wateja pia zinaweza kusoma hilo jina ulilolisajili.
__
GHARAMA
Mpaka muda huu BRELA gharama ya usajili ni 20,000 tu. Na unaweza kusajili via online kwenye mtandao wao wa Brela Ors. brela.go.tz

MAHITAJI
1. Jina unalotaka kusajili
2. Namba yako ya Nida (pia kama mko wengi mnaweza kusajili Jina kwa category Partnership)- kila mtu na namba yake ya nida
3. Emails :
4. Phone numbers
5. Location ya office, na location ya mmiliki(wamiliki)

SIKU UKIHITAJI KUSAJILI JINA AU KAMPUNI

Tunafanya consulting (kusaidia) kusajili business name yako brela kwa HARAKA NA UFANISI zaidi. Hivyo siku ukihitaji usisite kututafuta. Whatsapp link ni BOFYA HAPA kuchat nasi moja kwa moja via whatsapp
Mawasiliano

0754210627
Info@kingbest.co.tz

NB: HATUNA UHUSIANO WOWOTE NA BRELA. SISI NI BUSINESS CONSULTANTS.View attachment 1781695
🙏
 
Back
Top Bottom