House4Rent Natafuta nyumba ya kupanga ya NHC maeneo ya upanga au posta

grellerne

Member
Apr 17, 2015
9
45
Natafuta nyumba ya NHC maeneo ya Upanga au posta mwenye uwelewa na hatua za kufata ili uweze kupata anijuze Tafadhali na bei pia ni shilingapi kupanga.
 
DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
10,252
2,000
Nijuavyo Mimi,

Bei ya Michakato yote mpaka uipate nyumba ya National Housing .

Mara nyingi huwa Ni Kuanzia millioni Moja Tsh na Kuendelea

Ila bei halali ya pango Huwa ni Elfu 43,200 Tsh kwa mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
8,592
2,000
DeepPond,
okay una uzoefu wa zamani, kwa sasa nyumba ni laki tau mpaka nne.

ila ili kupata unatoa milioni nane kama kilemba ya kumvua dalali, then ndio unaanza kulipa hiyo tatu ya kila mwezi.
kuna madalali wanafanya hiyo kazi hapamjini, mimi nililipa milioni 5 kuopata ubungo NHC
 
ngongoti2000

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,335
2,000
DeepPond,
niliingia nymba za NHC nilikuwa nalipa 87,000 sasa hivi ni around laki nne lakini nashindwa kuliachia sababu ni eneo very hot in Town...nimemua kukomaa mpaka mwisho!..wanaojua maana yake wamenielewa!
 
jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
8,592
2,000
niliingia nymba za NHC nilikuwa nalipa 87,000 sasa hivi ni around laki nne lakini nashindwa kuliachia sababu ni eneo very hot in Town...nimemua kukomaa mpaka mwisho!..wanaojua maana yake wamenielewa!
kaka, naomba niachie, nenda mbezi beach zipo za laki tatu, mimi kazi zangu ni posta.
 
jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
8,592
2,000
swali japo halihusiani

Nhc wanashindwa nini kuendelea kujenga majumba ya kupangisha ukiacha hizi waluzowanyanganya wahindi ili tusisumbuke makazi na kujengajenga ovyo huko kivule na charambe
wamejenga nyingi sana, nenda moroco, nenda magomeni, kila kona hazina wateja, walikuwa wanatengeneza kw bei kubwa sana
 
wingatereza

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
1,268
2,000
wamejenga nyingi sana, nenda moroco, nenda magomeni, kila kona hazina wateja, walikuwa wanatengeneza kw bei kubwa sana
wajenge flats na watoze say 100,000 kwa say vyumba viwili na sebule jiko na stoo. Halafu wawe na mfuko wa kuchangia kama pspf wale wanachama anapochangia laki mbili moja yao na moja inaingia kwenye mfuko.

Ni ushauri japo unaweza kuwa mbovu but observed this in Astana
 
Barelawyer

Senior Member
Oct 11, 2012
189
225
Karibu kwa anaehitaji IPO hapa mtaa wa zanaki, kilemba.
okay una uzoefu wa zamani, kwa sasa nyumba ni laki tau mpaka nne.

ila ili kupata unatoa milioni nane kama kilemba ya kumvua dalali, then ndio unaanza kulipa hiyo tatu ya kila mwezi.
kuna madalali wanafanya hiyo kazi hapamjini, mimi nililipa milioni 5 kuopata ubungo NHC
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom