Nina jumla ya gunia 1,000 za pumba ya mahindi zenye ujazo wa debe saba @1. Natafuta soko

TZCHINA

Senior Member
Dec 6, 2019
126
152
Habari wana jamvi, natafuta soko la pumba za mahindi.

Kwa sasa nina jumla ya gunia 1,000 zenye ujazo wa debe saba kila moja.

Mahali: Kasulu Kigoma

Mawasiliano: +255 76 2 061 694

Ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom