undugukazi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 315
- 82
Heshima kwa wote!!
Nahitaji nyumba ya kupanga iwe vyumba viwili vya kulala kimoja kiwe self, iwe na jiko na sitting room na public toilet.

Maeneo:
Chang'ombe, mivinjeni, upanga, mikocheni, maeneo ya victoria na ya karibu na maeneo hayo
Kodi:
Budget ni 250,000/= mpaka 350,000/= kwa mwezi ( kodi miezi sita)
Mwenye nayo ani PM tafadhali.
Ahsanteni!!