Babu wa Loliondo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 323
- 106
Wasalaaam wanaJF!! Nahitaji nyumba ya kupanga chumba kimoja na sebule, angalau maji yawe yanapatikana karibu kwan najua hilo ni tatizo kwa maeneo mengi hapa DSM kwa
maeneo yafuatayo! Sinza, kijitonyama/makumbusho, kinondoni-vijana, kinondon B !! Bajeti yangu ni TZS 100,000 Naweza kulipa miezi 8 had 10. Kama unaccho tuwasiliane ndugu kwa PM
Nitashukuru sana
maeneo yafuatayo! Sinza, kijitonyama/makumbusho, kinondoni-vijana, kinondon B !! Bajeti yangu ni TZS 100,000 Naweza kulipa miezi 8 had 10. Kama unaccho tuwasiliane ndugu kwa PM
Nitashukuru sana