selling iphone3gs unlocked black 16gb 200000tsh only 0659197822

selling iphone3gs unlocked black 16gb 200000tsh only 0659197822

Sasa si uweke picha?kila siku mnafundishwa humu,kesho mtu anakuja na yale yale.
 
Kuweni makini na huyu mtu! Awali alikuwa anatumia id ya "millide", anafanya biashara za kitapeli, usipokuwa makini unauziwa simu mbovu
 
Kuweni makini na huyu mtu! Awali alikuwa anatumia id ya "millide", anafanya biashara za kitapeli....
Natafuta iPhone 5 ila naogopa kuinunua kwa mtu, afadhali nikanunue mpya dukani. kuna simu niliinunua kupitia hapa jf, betri yake haikai na charge yaani kero tupu.
 
Kumbe nawe umemshultukia kuwa ni yule yule tapeli. Jamaa anauza simu mbovu na anachotangaza sicho anachouza kuweni makini sana na huyu mtu naona kabadili ID
Kuweni makini na huyu mtu! Awali alikuwa anatumia id ya "millide", anafanya biashara za kitapeli, usipokuwa makini unauziwa simu mbovu
 
Back
Top Bottom