Unayetaka uwakala tigo pesa fursa hiyo

Unayetaka uwakala tigo pesa fursa hiyo

Eliamini

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
618
Reaction score
744
Laini ya uwakala wa tigo pesa inauzwa bei yake ni laki 6,kwa mawasiliano zaid 0682933868
 
Wha is so special with that line, kwani mtu akiamua kuifuatilia mwenyewe tigo how much does it cost
 
jamani wakuu..... msinunue line hizi... kwa bei zote hizi... kuna super dealer mmoja anaitwa accenture holdings ltd. kasharuhusiwa kuuza line mpya za tigo pesa. anapatikana maeneo ya lufungila mwenge. namba zake ni 0714747464… msilipie malaki yooote hayo kwa vitu vya almost elfu 20 labda
 
Back
Top Bottom