Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Our main objective is to provide a top-class service for companies and individuals interested in sustainable development. With our key activity being collecting and recycling of secondary raw...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
sasa unaweza punguza UZITO NA kudhibiti UZITO vyema. 0713507487 0767507487 0782898210
0 Reactions
3 Replies
956 Views
Nauza Sony Bravia flat screen LED inchi 46, fridge kubwa milango 2 LG, freezer kubwa ya Nyama aina ya Liebherr Heavy Duty, vyote ni original, vipya na vimetoka Ulaya. Kwa anaehitaji ani PM.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hello, tunafanya mengi yahusuyo ushauri na uratibu wa masuala ya miradi ya kijamii na uchumi na maendeleo kwa ujumla. Baadhi ya mambo hayo ni kama;- project designing/planning, M&E and developing...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Ndg zanguni,ukweli naitaji saaan hii chopper bike,tatizo niko mkoani ila kuna moja nilikuanayo b4 kuna mtu aliniletea toka zanzibar kwa laki 1 na nusu.ila sasa hivi ayupo tena,sasa kama wewe unayo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
kwa anayejua bei ya milango ya mbao kwa Dar es Salaam naomba aniambie
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari zenu wana jf Samsung galaxy s2 used ipo kwenye hali nzuri inauzwa bei laki 5.5
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu, Nataka kuzungusha ukuta eneo ambalo nina mpango wa kujenga mwishoni mwa mwaka huu. Kama umeshawahi kufanya kazi na fundi mwashi anaeijua kazi yake vizuri, nitashukuru sana kama utaweza...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Shamba lenye ukubwa wa hekari mbili linauzwa, lipo barabara ya kwenda Nyumbu / Msangani lipo ndani ya miundombinu. kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba hii. +255 755 233 243
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nimepoteza simu zangu so natafuta simu ya fasta
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Nauza a refurbished laptop tajwa apo juu, specs ni; 500 HDD 4GB ram AMD PHENOM QuadCore processors 1.6GHZ, good for gaming and graphics, ability to change graphic procesor from normal...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Habari wana-JF...Kuna computer inauzwa kwa bei POA,iko vizuri haina tatizo,Ina 3GHz processor,hard-disk ya 80GB,RAM ya 1GB,DVD writer na ipo pamoja na monitor yake ''FLATSCREEN YA NEC'' yenye inch...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
[SIZE=3][COLOR=#000000][FONT=Calibri]Nyumba yenye hati ya Vyumba 3 kimoja Masterbedroom,sebule pana,Dining , choo cha ndani na bafu na choo cha nje na bafu lake,uwanja mkubwa wa kupaki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta frema ya biashara kati ya mwenge au makumbusho au kinondoni au tegeta , kama kuna mtu ana taharifaa zozote kuhusu frem za biashara maeneo hayo Tuwasiliane kwa simu 0713-95-92-90
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu post hii haiko hai,kuna post nyingine ambayo tumefanya review ya bei,samahan kwa usumbufu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Turubai jipya la kuwekea kambi linauzwa kwa sh. 350,000/=. Ni kubwa lenye uwezo wa kulaza watu 5. Linauzwa lenyewe pamoja na begi lake na vifaa vyake vyote vya kulisimamishia. Pia wanauzwa...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
ni BODI tu haina engine bado nzuri sana. ukiipenda nipigie kwa namba hizi 0713507487 0767507487 0782898210
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, nauza iphone 3g ni nyeupe ina 16gb kwa bei ya 250,000/ please kama upo interested nichek kwa 0714021078. Asante
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nilikuwa nimeomba kiwanja kwenye huu mradi wa viwanja vya kimbiji na yale yale na nimebahatika kupata ila kuna mambo yameingiliana na sina uhakika kama nitaweza kukilipia kwasasa. Hivyo basi...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Habari wana JF natafuta fundi mzuri wa tablet kwa maeneo ya MWANZA au SHINYANGA. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom