Milango ya mbao Dar

Milango ya mbao Dar

ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,620
Reaction score
1,408
kwa anayejua bei ya milango ya mbao kwa Dar es Salaam naomba aniambie
 
Gharama zina-range kwenye TZS 230,000 hadi TZS 300,000, hii ni kwa mbao za Mninga na Mkongo.
 
Back
Top Bottom