jumbenylon
Senior Member
- Jun 12, 2011
- 115
- 10
Habari, nauza iphone 3g ni nyeupe ina 16gb kwa bei ya 250,000/ please kama upo interested nichek kwa 0714021078. Asante
Chukua 200,000
Atawekaje picha wakati imeishauzwa. Mimi nilitaka kumpa offer ya Tshs 205,000/= lakini nikaona tayari imeuzwa.Weka Picha Mkuu!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums