Nakihitaji,mtaa wowote,ilimradi kiwe na hati(Title deed)kwenye jina la muuzaji.Malipo ni kupitia kwa mwanasheria na bank.TZS 80M(Million themanini pesa ya kitanzania) ndio pesa ya jumla sina pesa...
Wanabodi siasa pembeni
Tumeshusha bei za makontena kutoka UK sasa tunachaji kama ifuatavyo
40'hc to DAR/MBS sasa ni £1,800 tu
20' to DAR/MBS sasa ni £1,200 tu
Hii nio kwa lines zote
MAERSK...
Salamu kwa Wadau. Naomba kama kuna m2 anafaham au anaweza kunsaidia kupata shamba maeneo ya Kibiti kwa bei rahisi. Natafuta just hekari moja tu. Ingawa cjawahi kufika ila nmevutiwa na hali ya hewa...
Nauza
Sony Bravia flat screen LED inchi 46: Mil 4,
fridge kubwa milango 2 LG: Mil 2.5,
freezer kubwa ya Nyama aina ya Liebherr Heavy Duty: Mil 6, vyote ni original,
vipya na vimetoka...
Wakuu,
Naomba msaada.
Kuna mama mmoja anahitaji mtaalam wa kufanya tathmini ya nyumba yake, ambayo kwa sasa ina wapangaji. Lengo ni kujua thamani halisi ya nyumba kwa ajili ya mauzo. Huyu mama...
Nauza
Sony Bravia flat screen LED inchi 46, fridge kubwa milango 2 LG,
freezer kubwa ya Nyama aina ya Liebherr Heavy Duty, vyote ni original,
vipya na vimetoka Ulaya. Kwa anaehitaji ani PM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.