Ndg zanguni,ukweli naitaji saaan hii chopper bike,tatizo niko mkoani ila kuna moja nilikuanayo b4 kuna mtu aliniletea toka zanzibar kwa laki 1 na nusu.ila sasa hivi ayupo tena,sasa kama wewe unayo na unauza basi tuwasiliane,
Ukitaka choper Mtafute Paul Sr. au Paul Jr (Bei kuanzia Millioni 20 kuendelea)
View attachment 95688
Au unataka Batavuzi (Scooter), bei kuanzia
Laki2
View attachment 95689
bike= baisikeli?
bike= motorbike?
weka picha