Wakuu nilikuwa nimeomba kiwanja kwenye huu mradi wa viwanja vya kimbiji na yale yale na nimebahatika kupata ila kuna mambo yameingiliana na sina uhakika kama nitaweza kukilipia kwasasa. Hivyo basi kama kuna mtu anakihitaji tuwasiliane (PM) ili kujua la kufanya. Kiwanja kina sqm 400 na garama zote ni kama 3.3M.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums