Natafuta Fundi Mwashi (Manson)

Natafuta Fundi Mwashi (Manson)

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Wakuu,

Nataka kuzungusha ukuta eneo ambalo nina mpango wa kujenga mwishoni mwa mwaka huu.

Kama umeshawahi kufanya kazi na fundi mwashi anaeijua kazi yake vizuri, nitashukuru sana kama utaweza kunipatia namba yake.

Nashukuru sana.
 
Kama upo dar mtafute huyu 0754964177..! Aliwahi kutufanyia kazi mbili tatu, he is very commited.. Anaitwa Julio.
 
Mkuu, shukran sana.

Nimekwisha wasiliana nae. Ntajitahidi nikupe updates ikiwa tutafanya kazi pamoja
 
Wakuu,

Nataka kuzungusha ukuta eneo ambalo nina mpango wa kujenga mwishoni mwa mwaka huu.

Kama umeshawahi kufanya kazi na fundi mwashi anaeijua kazi yake vizuri, nitashukuru sana kama utaweza kunipatia namba yake.

Nashukuru sana.

Mtafute fundi Mudy ktk namba 0713841554 huyu ni Jembe ktk planning, usafi wa kazi, kunyoosha ukuta na kukabidhi kazi kwa wakati.
 
Wakuu,

Nataka kuzungusha ukuta eneo ambalo nina mpango wa kujenga mwishoni mwa mwaka huu.

Kama umeshawahi kufanya kazi na fundi mwashi anaeijua kazi yake vizuri, nitashukuru sana kama utaweza kunipatia namba yake.

Nashukuru sana.

Nakutakia mafanikio katika hilo mkuu,kwa TOFALI BORA KABISA karibu HALAAL Company Ltd,upate tofali nzur sana za INCH 6 ambazo NDIO NZURI kwa ukuta,ukifata mafund utaletewa tofali mbovu(udalali),NJOO MWENYEWE,TEGETA NYAISHOZI uone mwenyewe 0764 468 469
 
Mkuu, nashukuru sana
 
Back
Top Bottom