Natafuta laptop ya TZS 300,000/=

Natafuta laptop ya TZS 300,000/=

KyelaBoy

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2008
Posts
206
Reaction score
22
Nina jamaa yangu anahitaji laptop budget yake ni TZS 300,000/=,muhimu iwe inakaa na charge si chini ya saa mbili na kuendelea na HDD isiwe chini ya 320,unaweza wasiliana nami kwa Mob 0786 585 490 au uni PM ,nipo Dar ,mitaa ya Wazo Tegeta.
 
Back
Top Bottom