Nyumba ya kupanga au apartment

Nyumba ya kupanga au apartment

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Nahtaj i nyumba ya kupanga maeneo ya upanga au posta au maeneo ya karibu na town kama kijitonyama kurudi nyuma. Iwe na vyumba viwili au zaid iwe na choo seating room na kitchen hata zikipatikana.za nhc itakua vizuri bajeti 400,000-550,000 kwa mwezi
 
[h=2][/h]Nahtaj i nyumba ya kupanga maeneo ya upanga au posta au maeneo ya karibu na town kama kijitonyama kurudi nyuma. Iwe na vyumba viwili au zaid iwe na choo seating room na kitchen hata zikipatikana.za nhc itakua vizuri bajeti 400,000-550,000 kwa mwezi
 
kuna nyumba NHC bei 600000 kwa mwezi
 
Ipo ya room tatu, fùlly tiles, master, jiko, sebule na choo, parking kubwa!
fenced.
Makongo juu-
rent tshs.500,000/= per month.
0756547184
 
Ipo ya room tatu, fùlly tiles, master, jiko, sebule na choo, parking kubwa!
fenced.
Makongo juu-
rent tshs.500,000/= per month.
0756547184

Mkuu mm niko interested na maeneo hapo juu
 
Nyumba ipo Ali maua barabarani, fuata barabara ya kutoka sayansi na teknolojia.
Masterbedroom ensuite, 2 bedrooms, modern kitchen, living room, parking for 2 cars
Bei laki 4 unusu, ni PM
 
Nyumba ipo Ali maua barabarani, fuata barabara ya kutoka sayansi na teknolojia.
Masterbedroom ensuite, 2 bedrooms, modern kitchen, living room, parking for 2 cars
Bei laki 4 unusu, ni PM

nilikupm
 
Apartment zipo pia makongo juu,
with three bed room4,
master, siting room, dining, kitchen, parking reserve. sea view areas.
call back, 0715 547184
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom