wimbi la mbele
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 647
- 269
Hawa jamaa hapa mjini duka lao liko wapi:?
je quality ya nguo zao zikoje?
je quality ya nguo zao zikoje?
Bado nina mashaka ma Sheria, nataka kujua kama ana mafundi hapa mjini au yeye ni middleman - kazi yake ni kuchukua vipimo na kuvituma kwa mafundi waliopo china na india. kama hana mafundi basi biashara yake haitokuwa sustainable na bei zake zitakuwa ghali milele.
sijui sana kuhusu ubunifu wa nguo ila mpaka leo hii sijaona ubunifu wa ajabu wa nguo za kiume. mashati,suruali, tai na makoti .... ubunifu ni mdogo sana (insignificant changes to basic designs). i stand to be corrected