Mimi natafuta kazi ya planning and pipe fitting ni Fundi Nina uzoefu mzuri zaidi ya mwaka nimesomea Veta lev2 nafunga system zote za maji na ni dereva pia Namba 0712233653 au majaliwae6@gmail.com
Ziko DTF mbili Kuna newkins Ambayo ni used na pia Kuna DTF za kampuni ya YingHe ambazo ni mpya na accessories zingine Kama 8 in 1 Heat compressor, Kuna paper cutter machine, kuna inks na cleaning...
Dobimaridadi Mtaalamu(specialist) wa kufua na kunyoosha nguo yupo kwa ajili yako kuhakikisha umaridadi wa muonekano wako kwa kuvaa nguo nadhifu.
Tupe nguo zako leo tukufulie/kunyoosha kwa umakini...
Salute bosses
Tangu tumeanza hii movement JamiiForums mmekua pamoja nasi muda wote. I must be very thankful for their continuous support and generosity, thanks team for the great work. Siwezi...
NYUMBA HAIJAISHA INAUZWA
Eneo ukubwa : 448 SQM
Jiko
Two bedroom ( one master)
Dinning
Open kitchen
Public toilet
Location: Madale mbopo
Bei : 20,000,000 Negotiable
1.5km from madale road (...
Wakuu habari zenu , naomba msaada wenu juu ya suala zima la soko la maziwa nchini Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania kwa mwenye details zozote zinazoweza kuwa msaada kwangu tafadhali...
Kama walivyoahidi, Remitano wamezindua sarafu yao ya Renec.
Sarafu ambayo ilikuwa ikipatikana bure kwa kufanya mining kupitia simu ya mkononi sasa ipo sokoni kupitia exchange yao.
Renec iliingia...
Kifaa hiki kimasaidia;
-Kupunguza maumivu ya viuongo
-Hufanya massage mwilini hivyo kuimarisha mzunguko wa damu
-Kwa wanariadha na wafanya mazoezi kinaondoa uchovu
-Kinasaidia kwa watu...
Habari ndugu zangu humu jukwaani, naombeni machimbo wapi ntapata dollar.
Nimezunguka sana kwenye benki lakini nimekwama, hakuna kabisa.
Sehemu gani naweza kupata dola ndugu zangu? Nahitaji...
Habari wanajukwaa,
Kwa mwenye kujua soko la kuku wa nyama mkoani Mwanza anipe connection mimi napatikana Usagara.
Nina broilers 358 wanakaribia kuingia sokoni Bado week Moja tu.
Natanguliza...
Habari wadau,
Tunatoa huduma za ufundi umeme na solar,
. wirring aina zote
. maintenance ya wirring zote
. security system (CCTV)
.water pump
. Street light
N.k
Tunapatikana Iringa Mjini
Call...
Habari njema kwa watanzania wote. Sasa tumaweletea kifaa kipya na cha kisasa kiitwacho MiFi kutoka Marekani, ambacho kinatumia line za mitandao ya simu za mikononi na kurusha internet kwa njia ya...
Nina Tsh. Milioni 30 cash mkononi mwangu, kujenga ndo kipaombele changu, hata biashara pia.
Mwenye nyumba nzuri ya milioni 20 (Arusha) anitafute. Milioni 10 nataka nifanye biashara nipate hela ya...