Vifaranga wa kienyeji Moshi

godson group

Member
Mar 10, 2017
21
6
Kampuni ya godson poultry solution moshi kwa kushirikiana na engonho farmer ya Kenya tunawaletea VIFARANGA bora wa kienyeji aina ya :-

KENBRO:-
Hii inatoka Kenya ni VIFARANGA wanaoweza kupambana na hali ya hewa ya maeneo yenye baridi Kali pia wanakuwa kwa kasi ,hutaga wakiwa na umri wa miezi 5 ,wana uwezo wa kutaga mayai 220+kwa mwaka


MALAWI:-
Black astroph ni aina nyingine ya VIFARANGA kutoka kampuni ya godson hawa ndo kuku wanaoongoza kwa utagaji wanauwezo wa kutaga mayai 320+kwa mwaka ila wanahitaji uangalizi mzuri


ISRAEL:-
Hawa ni aina ya kuku kutoka Israel ,wana uwezo wa kukua haraka pia wanataga mayai 250+ kwa mwaka

SASSO:-
Kuku wazuri kwa nyama wanaweza kufikisha kilo 5-7kwa jogoo kwa miezi 7 na 3-4 kwa mitetea ila wana utagaji mdogo wa mayai 150+ kwa mwaka


PURE KIENYEJI:-
Hawa ni kuku tuliowazoea wana uwezo mkubwa wa kujitafutia lishe yao na kupambana na magonjwa ,utagaji wao no mayai 80+ kwa mwaka

Bei ya VIFARANGA ni 1800@ garama za usafirishaji kwa VIFARANGA zaidi ya 100 ni ya kampuni

Kumbuka mafunzo pamoja na vijijarida vya mwongozo na namna ya kufuga kibiashara ni bure

Kwa mawasiliano
Call&SMS
0689350805
0621699422
0656435493
Call&SMS&what's up
0764257981
Tupo moshi mailisita karibu na shule ya wasichana weruweru
tanga.png
b8d7a6afaef6ece090ddabe7dfdda365.jpg
6813a4898d26db63b07b733c13f912ef.jpg
 
OK this is F1
I hope mna document zote kuthibitisha ni F1(importation doc) . kwa sasa Niko dar ila Nina makaz huko pia ntawatembelea soon nataka kenbro maana nimetafuta sana F1 . ningependa pia kuuliza kama mna wale dorep maana nawatafuta sana na sijaona hapo kwenye list yako .
Natanguliza shukrani
 
Ndo naanza ufugaji ,, sijui namna wanafugwa nimenunua pia kuku aina ya Israel Wana mwezi je niwafugaje chakula sintashindwa ila sijui utaratibu wa dawa chanjo niwape ipi kwa muda gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom