We dalali acha kuweka cha juu kiwango hicho
mbona ndo gia yake always bossKaka Njoo Nikupambanishe Na Mwenye Gari Wala Sina Shida, Iyo Ndio Bei Nimepewa Na Hata Ukiangalia Ni Kawaida Kwa Premio Za Mwaka 2006 Isitoshe Imekuja Na Gia Zig Zag
Hapo kwenye x na beiKaka Njoo Nikupambanishe Na Mwenye Gari Wala Sina Shida, Iyo Ndio Bei Nimepewa Na Hata Ukiangalia Ni Kawaida Kwa Premio Za Mwaka 2006 Isitoshe Imekuja Na Gia Zig Zag
Gia Zig Zag ndio zinaongeza Bei hivyo au??Kaka Njoo Nikupambanishe Na Mwenye Gari Wala Sina Shida, Iyo Ndio Bei Nimepewa Na Hata Ukiangalia Ni Kawaida Kwa Premio Za Mwaka 2006 Isitoshe Imekuja Na Gia Zig Zag
Gia Zig Zag ndio zinaongeza Bei hivyo au??
Mubei uko juu
Akikujibu shukuru!Mkuu premio ya mwaka 2006 nikiagiza nje mpaka inafika mkononi inaweza kuwa bei gani jumla au mtu yoyote mwenye uelewa anisaidie
Akikujibu shukuru!
Kifupi hiyo bei unaweza pata gari hiyo kwa kuagiza nje!Hata wewe kama unafahamu nijuze mkuu aio lazima awe yeye tu