Shamba linauzwa lipo kibaha kongowe maeneo ya msufini,ukubwa ekari 206,limepimwa kila ekari moja sh 3.5 mil,jumla(721 mil),malipo kwa awamu yanaruhusiwa pia,interested and serious buyers,call...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, nina elimu ya IT ngazi ya DIPLOMA,ninauzoefu wa Miaka 6 katika fani hii,nina uwezo wa kufanya computer mantainance and repair,networking,production...
Anayehitaji tufanye biashara ya zabibu ninamkaribisha.
Ni zabibu nyekundu, zipo na hali nzuri na mikungu mikubwa.
Bei maelewano kutokana na wingi wa mzigo na ninaweza kukujumlishia shamba zima...
Nahitaji kununua laptop kwa 200000/= bei yangu ilingane na uwezo wa laptop na sio ubovu wa laptop,niheri nipate nzima yenye uwezo mdogo kuliko mbov yenye uwezo mkubwa. Email me@ fjaxyf@gmail.com...
Jamani naomba kuuliza aina nzuri ya jiko la umeme(two plates) ambalo ni imara. Nimetumia Singsung lakini limekufa haraka(miezi mitano tu). Natanguliza shukrani
ndg wataalam. ndg yangu ana mpango wa kufungua huduma ya internet mwezi huu. mwenye utaalam wa kompyuta za internet na kuunganisha service atupie hapa namba yake tuongee..yangu ni 0767 940 494
1. Kiwanja chenye hati kipo Chanika, heka 5 pembeni ya barabara ya lami. Bei Mil 200.
2. Kiwanja kipo Kivule jirani na kitunda ukonga, hatua 17 kwa 30 bei mil 3
3. Viwanja vipo...
Kwa wanawake wanaohitaji msaada wa mbegu za mwanaume,sasa zinapatikana hapa hapa Tanzania kwa bei nafuu. Tunazo mbegu za wanaume waaina 10 mpaka saa hizi katika stoo yetu.
Mbegu ni za ubora wa...
Biashara ya mtando ilianzishwamiaka ya 1960s huko Marekani na milionea wengi wa marekani walianza kushika milioni yao ya kwanza kwa kupitia Biashara hii ya MLM.
Kwa hapa kwetu Tanzania makampuni...
Kama ushawahi tumia au una experience yeyote na aina za discovery hapo chini naomba ushauri wako ukizingatia mambo yafuatayo
mimi ni mjasiriamali hivyo gari itakuwa ni ya mizunguko mingi ya hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.