Land Rover Discovery: Msaada from your experience.

don-mike

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
730
Reaction score
1,438
Kama ushawahi tumia au una experience yeyote na aina za discovery hapo chini naomba ushauri wako ukizingatia mambo yafuatayo
  1. mimi ni mjasiriamali hivyo gari itakuwa ni ya mizunguko mingi ya hapa mjini, kwa siku naweza tembea between 80km and 150km.
  2. nategemea anza shughuli za shamba pia, hopefully hadi kuagiza gari na kuifikisha hapa muda wa kilimo utakuwa ushafika.
  3. kutaka kununua discovery ni kutokana na mapenzi nliyonayo na gari za landrover.
  4. uhimara wa engini za hizi gari.
  5. ni nini matatizo ya mara kwa mara ya hizi gari
  6. unaweza comment on specific model kama zilivyo hapo chini.

hii ni ya 1996, diesel engine, automatic, 2500cc
discovery1996.jpg

hii ni ya 1998, petrol engine, automatic, 4000cc
discovery1998.jpg

hii ni ya 2000, petrol engine, automatic, 3940cc
discovery2000.jpg

hii ni ya 2004, petrol engine, automatic, 3900cc
discovery2004.jpg

natanguliza shukrani
 
Andaa pesa ya kiwese tu mkuu, ukipata iliyoko safi nikutia mguu tu!
 
Mkuu, hii ndio gari, cc 2.5, Tdi 3, engine bomba sana hiyo ya dizeli.
Land Rover ni gari imara, hard to break it, lakini spare zipo juu kidogo. Ila ukifunga genuine parts, unasahau kabisa. Sio kama Toyota janjajanja.

attachment.php
 
Mmh, ukiachia matangazo at work ambalo sina shida nalo, jaribu kunoa your entrepreneurial skills, mapenzi yaaina ya gari na gharama za uendeshaji wa biashara sioni kama zinatakiwa kuwa tatizo la kiaamuzi kwa mjasiliamali yeyote.
 
nachohitaji jua hasa ni gharama za uendeshaji wa hizi gari kabla sijafanya maamuzi yeyote, nimeona rav4 zikinyonya mafuta zaidi ya prado, sasa information is power, ndio maana nahitaji feedback from experience. mwisho wa siku ntaconsider factors zote ila kubwa ni fuel per kilometre and uimara wa gari. nisichokiangalia sana kwa sasa ni gharama za kuliagiza gari na kulilipia kodi sababu zitaneutralize na uhimala wa gari na fuel consumption

Mmh, ukiachia matangazo at work ambalo sina shida nalo, jaribu kunoa your entrepreneurial skills, mapenzi yaaina ya gari na gharama za uendeshaji wa biashara sioni kama zinatakiwa kuwa tatizo la kiaamuzi kwa mjasiliamali yeyote.
 
mkuu it shows unzazijua vizuri hizi gari, tiririka zaidi ...gari ikiwa kwenye condition nzuri, inatumia lita moja kwa kilomita ngapi?

Mkuu, hii ndio gari, cc 2.5, Tdi 3, engine bomba sana hiyo ya dizeli.
Land Rover ni gari imara, hard to break it, lakini spare zipo juu kidogo. Ila ukifunga genuine parts, unasahau kabisa. Sio kama Toyota janjajanja.

attachment.php
 
Kama ndio unaanza biashara nigekushauri uwe na gari ya pili just incase( kama Suzuku au Toyota); Discovery ni gari nzuri na ngumu. Ila zina mchezo wa kubuma njiani kwa ajili ya vitu vidogo vidogo. kama Sensors, Over heating, Air suspension leakage etc.

Na ni shida kwa Dar (imagine uko mkoani) kupatu fundi and Spare on emergency basis.

All the Best.
I sold mine.
 
tell me mkubwa, consumption ya mafuta ilikuwaje? na ilikuwa cc ngapi?

Mkuu, mafuta kama ukilenga engine nzuri utakwenda mpaka 10 Km/Ltr. Lakini ulaji wa mafuta unategemea sana vitu viwili:
1) Ubora wa engine pamoja parts zake kama pump na nozzles
2) uendeshaji wako - ukizingatia ni Auto transmission.
3) maeneno - kama upo milimani tegemea utaendeshea gia kubwa muda mwingi..gari itahitaji power kubwa, more fuel will be consumed.

Issue ya senssors na kuchemsha ni kweli, usipokuwa makini ikianza huo mchezo haitaacha hata kidogo....lazima kuangalia gari kwa makini.

Pia zinatabia ya kuwa KIKOJOZI - leaking oil kama hutakuwa unafuata service na kukagua gari mara kwa mara.
 
Lita moja ni km 9-10 kwa ile ya cc 3900 ila km engne iko superb haijachoka na parts zake zina operate vzur.. Kwa shuguli za ujasiriamali skushauri kutumia hii gar kwa sababu zifuatazo:
1. Maintainance
Mkuu hii gar mpka ufanye full service nzur gharama yake ni kuanzia 150,000/- kuendelea hapa weka vitu basic tu km filters, oil ya BP ingawa total ni nzur but sio recomended kwa gar hizi.
2. Spare parts zake zinapatikana kwa shida na ni expensive kupita maelezo. Halaf km mkuu mmoja alivodokeza hapo juu swala la sensor ni tatizo ingawa hutegemea na matumiz. Pale Tabata garage moja inaitwa Maximum walipata kuigongesha chini gear box wakiifungua wakaua sensor za gar kwa 60% hawakujua cz washazoea kugongesha za gx100 walipokuja kufunga gar haikuwaka mpka jamaa wa DT Dobie wakaja kuivuta ndo kujua tatizo
3. Kwa mtu unaetaka kutengeneza pesa unahitaji matumiz madogo kwa kadri uwezavyo sasa kwa hii mashine mkuu itakua ni vice versa cz hapa bills zako zitakua juu pengne ukakuta unaifanyia kaz gar tho sio lazima iwe hvo kutegemea na kipato chako ila nahisi unaweza kwenda na choice nyngne na sio Discovery.
Pale kwenye tatizo la kuchemsha inatokana na thermostat inayofungwa kweny rejeta weng hawazifanyii modification ndo mana zinawasumbua ila km ikifanyiwa modification kuchemsha haitkua tatizo la lazima.
All in all hii ni gar nzur sana kwa uimara na comfortability ila inahitaji mfuko wenye afya na sio pesa ya mawazo.
 
gari gani yaweza kua mbada wa discovery, when it comes to uimara wa gari, stability barabarani and fuel consuption?

Kwa shuguli zako za ujasiriamali i suggest Toyota Hillux 2.4 D4D Vigo hii mashine ni so powerful, consumption nzuri, fast, spare parts available, very durable na ni ngumu/imara.. Pia mafund wake ni wengi.
 
Tatizo D4 engine huwa zinasumbua sana
 
Tatizo D4 engine huwa zinasumbua sana

Askwambie mtu mkuu wala usisikilize maneno ya mtaan D4 ni engne inayotumia umeme mwing na composition yake sehem kubwa ni electronic tofaut na yale ma engne ya zaman ambayo composition yake kubwa ni mechanic sasa mafund wetu wa mitaan wamekutana na technology mpya inawasumbua ndo wanasingizia labda wew mkuu uniambie hapa kama kweli unazifaham D4 matatizo yake ni nn? D4 na VVTI ni one of the best engine technologies nilizowah kukutana nazo.
 
Sawa ndio ni nzuri sana ila ni kwa mijini ndio inafaa kwa sababu hautakiwi uchanganye mafuta na wengi hawajui tofauti ya premium na super au regular wanachojua ni petrol wakifika sheli ni kuweka mafuta tu kitu kinachovuruga utaratibu wa hizi injini so ni gharama sna kuzihudumia tofauti na injini nyingine kama 3s au vvti
 
Hakuna engne ambayo ukiiwekea mafuta mabovu yaliyochakachuliwa haitakuletea matatizo.
 
Humu mimi ndio maana napapenda!! Jingine Mkuu kama Una mahaba na hiyo kitu kama mimi ndugu yako!! fanya hili ili kuepuka gharama za juu. Chukua hilo dude na kama mbavu zipo vizuri wekeza kabisa kwenye Defender kisha tafuta starlet ya kukuzungusha mijini kwenye shughuli zako na kutumia Land-Rover kwa ajili ya safari za shamba tu. kwani hiyo gari karibuni series zake zote hiyo ndiyo shughuli zake (SHAMBA NA PORI) . vinginevyo gharama zake zitakuwa za juu kama wasemavyo mabingwa hapo juu. kila la kheri na karibu kwenye kilimo tupo pamoja.
 
Hakuna engne ambayo ukiiwekea mafuta mabovu yaliyochakachuliwa haitakuletea matatizo.

Soma vizuri uelewe nilichokiandika sijasema mafuta yaliyochakachuliwa nimesema ukiweka petrol aina tofauti na ya kwake kama ni super ukaweka regular unavuruga mfumo wa injini tofauti na injini kama za vvti au 3s unaweza ukaweka petrol aina yoyote utakayo
 
Back
Top Bottom