Heinrich Himmler
Member
- May 20, 2013
- 71
- 151
Kwa wanawake wanaohitaji msaada wa mbegu za mwanaume,sasa zinapatikana hapa hapa Tanzania kwa bei nafuu. Tunazo mbegu za wanaume waaina 10 mpaka saa hizi katika stoo yetu.
Mbegu ni za ubora wa hali ya juu ambazozimethibitishwa katika maabara kwa uwezo mkubwa wa kutungisha mimba (spermcount, speed na maumbile).
Baada ya mteja kuchagua sampuli ya mbegu kutokana naaina ya mwanaume na umbile atakalopenda tunatumia njia mbili kutungisha mimbakwa mwanamke.
1. Artificial.Hii ni njia ambayo mwanamke akishachagua sampuli ya mbegu, mbegu zinawekwakwenye tube iliyo kama bomba la sindano (syringe)na mbele iko kama tube ambayomwanamke mwenyewe peke yake atalala kitandani na kujiwekea mwenyewe siku ambayomadaktari wetu watamshauri kuweka baada ya kusoma mzunguko wake wa hedhi. Hiini njia ambayo mteja atatakiwa kulipia TShs 50,000. Kama atataka kupelekewahuduma hii alipo atagharamia huduma ya usafiri wa kutoka ofisi yetu mpakaatakapotaka apewe huduma hii.
2. Natural.Hii ni njia ambayo amwanamke akishachagua picha ya aina ya mwanaume anayetakakupewa mbegu. Mawasilianao yatafanywa na wachangiaji (donor) wetu na tarehe itapangwa baada yamadaktari wetu kusoma mzunguko wa hedhi wa mteja ambapo mteja atafanya tendo landoa (sex) na mteja wetu mara 2 kwa siku 2. Njia hii ina sharti moja kubwa ambalo mteja lazima akubali kufanya vipimo vya magonjwa ya zinaa ikiwepo na ukimwi.
Kwa njia zote mbili mteja atatakiwa kujaza mkatabaambao hatatakiwa kudai madai yoyote ya gharama za matunzo ya mtoto kutoka kwetuau wachangiaji (donors) wetu isipokuwa ataweza kupewa haki (kama atapenda) yakupata taarifa za donor wake na jinsi ya kumpata kama atataka hapo baadaekumwonyesha mtoto baba yake mzazi (biological father). Mambo ya kuwekwa kwenyemkataba ni baada ya majadiliano na mteja.
Huduma hii ipo Dar es salaam na mikoani inapatikanakwa gharama maalumu. Kwa mawasiliano tuandikie email ifuatayo "darfertilityclinic2013@gmail.com"au niandikie Private mail (PM) hapa jamii forum halafu tutakupa namba zamawasiliano.