Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 444
Viwanjwa vinauzwa.
Mahali vilipo:
Mtaa: Kigezi Block 30 & Block 2
Kata: Majohe
Tarafa: Ukonga
Wilaya: Ilala
Mkoa: D'Salaam
Kiwanja cha kwanza:
Ukubwa: Square meter 1168, Bei: Tshs Milioni 17
Kiwanja cha pili:
Ukubwa: Square meter 705, Bei: Tshs Milioni 15
Maelezo ya jumla: Viwanja vyote vimepimwa na vina hati, huduma mhimu zote zipo karibu. Ni mwendo wa dakika 20 kutoka gongolamboto au nusu saa kutoka airport. Mitaa yote imepimwa, kila baada ya nyumba kadhaa kuna barabara.
Picha:
Hii ni barabara kutoka njiapanda ya pugu kuelekea Chanika, viwanja vipo upande wa kushoto kama mita 300 toka hapa barabarani
Viwanja vyote katika mtaa huu vimepimwa, hakuna ujenzi holela
Sehemu ya kiwanja cha square meter 1168 kama uonavyo mbele yake kuna nyumba
Sehemu ya kiwanja cha square meter 705 kama unavyoona mbele ya kiwanja kuna barabara inapita
Kwa mbele kule kidogo mji unaonekana
Viwanja vimepimwa na vina hati. Barabara, umeme, maji, shule nk vipo.
Kwa anayehitaji viwanja hivi au vingine maeneo haya au mengine anipigie au anitumie sms kwenye 0769142586 au unaweza ni PM.