Laki 2,natafuta laptop ya kununua.!

Laki 2,natafuta laptop ya kununua.!

jax fikrini

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
46
Reaction score
6
Nahitaji kununua laptop kwa 200000/= bei yangu ilingane na uwezo wa laptop na sio ubovu wa laptop,niheri nipate nzima yenye uwezo mdogo kuliko mbov yenye uwezo mkubwa. Email me@ fjaxyf@gmail.com usisahau ku attach pic zake.
 
Back
Top Bottom