Jengea tofali imara za mwamba kutoka Holili, Rombo, Kilimanjaro

stoneblock

Senior Member
Feb 28, 2023
128
357
Ni tofali zinazokatwa kwenye Mwamba/mawe zina mwonekano wa kipekee, ngumu /imara mara 5 zaidi ya tofali za kawaida unaweza usipige plasta na ukahamia na ukaenjoy kuishi hapo.

IMG-20230823-WA0044.jpg
 
2300 kwa 2400
Nilishakuuliza unipe details za hii mashine ukanyamaza kimya. Ila bana mangi wao wanataka uwape hela Ila wao kumpatia kyasaka Ni ishu kubwa .mie Niko mbali na wewe bana usiogope ushindani, ama network unatoa kwa anayeongea lugha moja na wewe.
Hapa ndio utajua hujui kukuta mangi ananunua duka la kyasaka na pembeni Kuna ndugu yake pembeni yaani ndio utajua mangi walivyo wakenya na ilhali wanaishi Tanzania
 
Hata kama ni imara ila hizi vitu ziko overpriced sana
tofali zetu unaweza usipige plasta au zikujengwa vizuri hazihitaji plasta nje na ndani kwahiyo hiyo gharama ya tofali inafidia yoote hayo pia tofali yetu ni ngumu kwa bahati mbaya ukibomoa nyumba utaweza kuzitumia tena pia haziathiriwi na magadi wala chumvi chumvi kwa wanojengea maeneo korofi gharama ya kurekebisha nyumba mara kwa mara ni kubwa kuliko kununua na kujengea tofali zetu kwa Dar tunapatikana Boko msikitini au tupigie 0682770944
IMG-20230703-WA0009.jpg
IMG-20230703-WA0030.jpg
IMG-20230703-WA0032.jpg
IMG-20230721-WA0041.jpg
IMG-20230829-WA0049.jpg
IMG-20230829-WA0050.jpg
IMG-20230703-WA0030.jpg
IMG-20230703-WA0031.jpg
IMG_20230420_120438_278.jpg
 
Nilishakuuliza unipe details za hii mashine ukanyamaza kimya. Ila bana mangi wao wanataka uwape hela Ila wao kumpatia kyasaka Ni ishu kubwa .mie Niko mbali na wewe bana usiogope ushindani, ama network unatoa kwa anayeongea lugha moja na wewe.
Hapa ndio utajua hujui kukuta mangi ananunua duka la kyasaka na pembeni Kuna ndugu yake pembeni yaani ndio utajua mangi walivyo wakenya na ilhali wanaishi Tanzania
piga simu namba iko hapo Mashine ni mac cutting mashines unaweza kugoogle ukapata detail ila sio chini ya mill 300 na Mangi
 
tofali zetu unaweza usipige plasta au zikujengwa vizuri hazihitaji plasta nje na ndani kwahiyo hiyo gharama ya tofali inafidia yoote hayo pia tofali yetu ni ngumu kwa bahati mbaya ukibomoa nyumba utaweza kuzitumia tena pia haziathiriwi na magadi wala chumvi chumvi kwa wanojengea maeneo korofi gharama ya kurekebisha nyumba mara kwa mara ni kubwa kuliko kununua na kujengea tofali zetu kwa Dar tunapatikana Boko msikitini au tupigie 0682770944View attachment 2796947View attachment 2796949View attachment 2796960View attachment 2796961View attachment 2796962View attachment 2796963View attachment 2796964View attachment 2796965View attachment 2796966
Usipopiga plasta ndani zile pipes za umeme na maji utaacha hivyo hivyo wazi?
 
Back
Top Bottom