Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,434
- 2,000
Ningejua alikobandika hili tangazo bora ningeenda kulisoma huko
Ebu tangaza tangazo lako vizuri acha uvivu ili kila mmoja aweza kulisoma vizuri kama unataka kupata wateja.
Hii tekinolojia inafanyaje kazi hadi hilo shimo lisijae. Kuna uvunaji wowote wa methane unafanyika? Maana kama haupo ni lazima kijae tu
Maelezo hayo wakuu,na kapicha kidogoSorry resolution ya image imekua compressed sana,
Hivi ni technology ambayo inakuondolea usumbufu wa kuchimba mashimo kwa ajili ya majitaka,pia inachukua nafasi ndogo sana ardhini na pia inaweza kuwekwa chini ya ardhi isionekane,hivyo nyumba kuonekana nadhifu,inakuepusha na gharama mbalimbali mfano za kunyonya au gharama ya usumbufu ya chambers kutoa harufu mbaya na kuzaliana kwa nzi na insects wengine.Pia inadumu sana na haina maintenance.Inatumia enzymes ambao wanawekwa mara moja,hii husaidia kumeng'enya uchafu na kuacha slurry ambayo kwa accumulation rate yake inachukua hadi 40+yrs kujaa kwa system ambayo ina ukubwa 1mita upana na depth 1mita i.e 1metre cubic by volume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji wa sabuni na dawa za kuoshea choo haziuwi hiyo enzymes.Sorry resolution ya image imekua compressed sana,
Hivi ni technology ambayo inakuondolea usumbufu wa kuchimba mashimo kwa ajili ya majitaka,pia inachukua nafasi ndogo sana ardhini na pia inaweza kuwekwa chini ya ardhi isionekane,hivyo nyumba kuonekana nadhifu,inakuepusha na gharama mbalimbali mfano za kunyonya au gharama ya usumbufu ya chambers kutoa harufu mbaya na kuzaliana kwa nzi na insects wengine.Pia inadumu sana na haina maintenance.Inatumia enzymes ambao wanawekwa mara moja,hii husaidia kumeng'enya uchafu na kuacha slurry ambayo kwa accumulation rate yake inachukua hadi 40+yrs kujaa kwa system ambayo ina ukubwa 1mita upana na depth 1mita i.e 1metre cubic by volume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada tunasubiri jibu la hili swaliMaji wa sabuni na dawa za kuoshea choo haziuwi hiyo enzymes.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us