Utalii wa Majini
Miongoni mwa maeneo ambayo utaweza kufanya utalii wa majini na nchi kavu basi hifadhi ya taifa Saadan ni miongoni mwa hifadhi ambayo inaweza kukupatia utalii wa aina iyo...
Tunatoa huduma ya kudesign CV za kisasa na zinazo vutia, pia tuna andika CV kwa ubunifu wa hali ya juu.
Kwa mawasiliano: 0628673444 au Whatsapp 0767673440.
Baadhi ya mifano ya kazi zetu.
Bei...
Salaam wakuu,
Nahitaji gari ndogo kwa ajili ya matumizi na mizunguko midogo midogo hapa mjini Dar es salaam. Napendelea zaidi Spacio, Premio, Allex, Runnex, Raum, Ractic na Rumion.
Bajeti yangu...
Wakuu habarini.
Nahitaji fundi wa kudesign shelves za mbao (spray painted) kwa ajili ya pharmacy mfano kama wa kwenye picha hapo chini.
Pharmacy ipo Zanzibar.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu
Huduma ya kuagizia bidhaa kutoka dubai bado zinaendelea leo nawaletea GAMING PC kwa NUSU BEI
🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
Dell Precision 5520 4K
core i7 7th generation
RAM 32Gb
STORAGE 512Gb SSD...
Habari Wakuu! Nina uhitaji wa gari iliyopata ajali subaru Impreza model ya mwaka 2008-2010. Kwa mwenye salvage ya aina hiyo ya gari tunaweza kuwasiliana.
Habari wadau nahitaji licenced windows 10pro na ms office 2016
Ninatoa 100k
Nicheki 0621973591.
Note:
Sihitaji pirated wala cracked version.
Ikiwa kwenye cd yake ni bora zaidi.
Habari za muda huu wanajamii Forums. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema alineyetujalia uzima.
Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada yangu. Kutokana na mwaka wa...
Hisense Smart TV 4k inch 75 bado mpya nyembamba imenyooka hizo picha tu ila ukiiona live ndo utakubali, imetumika miezii 3 inafaa kuoneshea mpira maana ni kubwa mwenyewe anashida na pesa haraka...
Nyumba inauzwa Kibaha kwa Mfipa(upande wa chuo)
Vyumba vitatu(master zipo 2)
Seble na jiko+choo cha public ndani
Eneo ni 23×33
Umeme upo, maji yapo
Km 2 toka moro road
Ndo inafanyiwa finishing
Ipo...
Hii nyumba inauzwa kwabei nafuu sana..ipo wilaya yamkuranga kijiji cha mwanadilatu iko kalibu sana na barabara.kwakutokea kitonga dar es saam kufika ilipo nyumba nidakika10 kwa bodaboda..nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.