baba aura JF-Expert Member Joined Aug 5, 2023 Posts 254 Reaction score 393 Nov 4, 2023 #1 Habari,Nauza pikipiki yangu aina ya boxer 150 namba c na ipo katika hali nzuri ,yaani sitata inapiga nakuondoka Bei ni mil.1 na laki 2 Nipo mkoani mbeya wilaya ya mbarali ,rujewa
Habari,Nauza pikipiki yangu aina ya boxer 150 namba c na ipo katika hali nzuri ,yaani sitata inapiga nakuondoka Bei ni mil.1 na laki 2 Nipo mkoani mbeya wilaya ya mbarali ,rujewa
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,191 Reaction score 43,536 Nov 4, 2023 #2 Mkuu "Sitata" kweli? Ila tumekuelewa😀
M Medecin Platinum Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,812 Reaction score 24,283 Nov 4, 2023 #3 Namba c 1.2m kweli huko mkoani, kama hiyo Dar unapata kwa laki 7
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,009 Reaction score 17,476 Nov 4, 2023 #4 Wa mkoani utawajua! Hiyo namba C ni 700,000 Dar! Na unapata hela chap chap!