Mostly welcome our beloved customers. Let us serve you with services such as;
House keeping
Gardening
Fumigation
Couriers
Security
General cleanness
Tunapatikana boko basihaya MKABALA na jengo...
Iko hivi mi nafanya kazi shirika fulan , huwa tunazurura mikoa mingi , kila mkoa huwa tunakaa at least miez sita .
Kwa sasa tupo DSM , nimechukua chumba mitaa ya KAM college Kimara korogwe...
Nyumba inauzwa ipo Kigogo Lwanga karibu na shule, dakika moja kufikia ilipo. Zipo nyumba Tatu kwenye kiwanja kimoja.
Inafaa kwa ajili ya kujenga godown kwa wale wafanya biashara.
Haina mgogoro...
Usalama ni jambo la msingi katika maisha yetu ya kila siku. Tunapojali usalama wetu na mali zetu, tunaweza kuishi bila wasiwasi na kujenga mazingira bora kwa familia zetu na biashara zetu. Hapo...
Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo.
Kama unataka kuingia kwenye biashara...
Gari inauzwa bei TSH.21,000,000/-TU ipo kwenye hali nzuri sana ilikua inasafirishiwa mikate tu ,mwenyewe kapatwa na shida ya ghafla anauguliwa ,ukihitaji kuiona ipo maeneo ya kigamboni maelezo...
Tuna pampu ndogo hadi kubwa za kutoa lita 30,000 kwa saa.
Bei.
Surface pump na submersible 0.5hp lita 2000kwa saa. complete tsh 700,000.
2hp ya kudmbukiza lita 8000 kwa saa, mita18head tsh...
Bandugu kwema? Nina laptop naiuza. Ina ram 8GB, HDD ni 500, CPU ni 2.4GHz ni Hp.
Kwa Dar ni wapi wananunua laptop used?
Adapter yake ipo pamoja na battery.
Kinanda aina ya Novation Launchkey 49 MK2 kinauzwa. Kinanda hiki ni maalum kwa ajili ya Music Production tu. Kinanda hiki bado ni kipya na hakina hata mkwaruzo.
Kinafanya kazi na software zote za...
Salam wakuu,
Nauza kiwanja chenye urefu wa mita 35 na upana mita 20.
Kimepimwa(surveyed)
Bei ni Tsh. Milioni 3
Plot number 594
Location: Morogoro, Mkundi.
Mawasialiano zaidi: WhatsApp number...
Nauza eneo la kiwanja lipo mailimoja B umbali km 1.5 toka barabara ya Morogoro, eneo lina ukubwa wa mita 20 kwa 50, huduma za maji na umeme barabara zipo .
Contact,0744639217
Bei,10millions View...
Katika pitapita zangu nikagundua Kariakoo bila kujulikana utauziwa vitu ghali.
Kuna mwanamke alitaka TV inch 65 akaenda kariakoo bei ikamshinda akaona anitafute nikamwambia bei yangu akaridhika...
Habari za muda wadau!
Kuna kazi Kubwa ya kutengeneza kokoto kwaajili ya ujenzi wa barabara. Kama una-crasher au unamfahamu mtu alienayo. Nitafute What'sApp kwenye namba (....).
Zimeshapatikana...
Nokia 150
Display:- 2.4”QVGA
Wireless FM Radio
Camera with Flash
[emoji367]Up to 19.4 hrs/23.4days/ Talk/standby time
MicroSD card Support up to 32gb
Price - 95,000/=
Free Delivery [emoji598]...
HAYA ENEO LINAUZWA "UBUNGO RIVERSIDE" ,VIWANJA VIWILI KWENYE ENEO MOJA,KIWANJA KIMOJA KINA HATI NA KINGINE HATI IPO KWENYE PROCESS ILA KINA JENGO LA GHOROFA
1.HILO ENEO LILILOZUNGUSHIWA FENSI...