Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habarini Wadau. Napenda kuwasalimu kwa jina la JMT🇹🇿. Naomba Kama kuna mwana Jamii aliye mpakani na Rwanda naomba tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nauza duka langu la vifaa vya ujenzi lililopo kibamba Dar es salaam maeneo ya Kibwegere duka linathamn ya m8. ( Milioni nane) Mawasiliano yangu ni 0656052164.
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Inauzwa ipo Businde nyuma ya airport Kigoma mjini. Bei 25,000,000 0689616537 Vyumba 4, kimoja masters, sebule kubwa, dinning, jiko,stoo. Kiwanja 18 kwa 25.
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Nauza simu iPhone 6+ [64GB] clean haina shida yoyote Njoo na 220,000/= tumalize biashara 0676321372 📞 Dar 📍
0 Reactions
1 Replies
671 Views
Kwa mtu yoyote anayeielewa mitaa ya makuburi na External aniambie mtaa mzuri ninaoweza kupata nyumba nzuri ya kupanga... average standard, sina familia. Mitaa ambayo nitapata usafiri kirahisi.
1 Reactions
0 Replies
418 Views
Happy lishe ni unga wa lishe bora kabisa; uliyosheheni virutubisho vitakavyompa mtoto wako ukuaji mzuri wa mwili na akili. Unga wetu unapatikana kwa bei ya Tsh. 4,000 kwa ujazo wa kilogram 1...
1 Reactions
0 Replies
566 Views
Habari za humu ndani nimejichanga nikaona sio mbaya kukusanya TV za mtumba na kuja kuziuza kwa wale wanaopendelea vitu vya mtumba. Ninazo makampuni tofauti tofauti kuanzia Lg, PHILIPS, Hitachi na...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias kidenge.vipo viwili Kila kimoja ukubwa squire meter 400. Bei kwa kimoja milioni tatu. Kwa vyote viwili milioni 5. Km 5 kutoka morogoro road Barabara nzuri ya...
0 Reactions
8 Replies
992 Views
Habari Wakuu.... Poleni na majukumu... Hihisi kila moja wetu anafahamu kwasasa ulimwengu wote upo online. Basi Siku moja katika pitatita zangu za kufanya research ya bidhaa tofauti tofauti...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Habar wakuu, bilashaka natumai mu wazima wa afya tele.....! Bila kupoteza tym naomba niende moja kwa moja kwenye point yangu, nimekuwa nikitaman kwa muda kuvaa saa ya smart ila nashindwa kufanya...
1 Reactions
70 Replies
10K Views
Kwa wanaohitaji viwanja ndani ya Dar es Salaam karibu Mbezi Makabe na Msumi. 1.Mbezi Msumi eneo limekatwa viwanja kadhaa kwa ukubwa tofauti kama ifuatavyo: Mita 16*16 bei ni Tsh5,500,000/= Mita...
5 Reactions
15 Replies
4K Views
Nauza YouTube channel Yangu link Yake https://youtube.com/@afroafricaa Ina Subcriber 128k Ipo complete Na Adsensens Yake Aina Ya Mauzui Niliyo Kuwa Na post Ni Comedy Nipo Ubungo Nicheke...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Tunu zetu Library tumekuwa kwa muda mrefu tukizienzi na kuboresha kazi za wakongwe wa fasihi ya kiswahili kwa manufaa ya kizazi kijacho. Baaada ya kuona maktaba nyingi hazina vitabu hivi...
8 Reactions
47 Replies
6K Views
Mostly welcome our beloved customers. Let us serve you with services such as; House keeping Gardening Fumigation Couriers Security General cleanness Tunapatikana boko basihaya MKABALA na jengo...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Iko hivi mi nafanya kazi shirika fulan , huwa tunazurura mikoa mingi , kila mkoa huwa tunakaa at least miez sita . Kwa sasa tupo DSM , nimechukua chumba mitaa ya KAM college Kimara korogwe...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa ipo Kigogo Lwanga karibu na shule, dakika moja kufikia ilipo. Zipo nyumba Tatu kwenye kiwanja kimoja. Inafaa kwa ajili ya kujenga godown kwa wale wafanya biashara. Haina mgogoro...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Usalama ni jambo la msingi katika maisha yetu ya kila siku. Tunapojali usalama wetu na mali zetu, tunaweza kuishi bila wasiwasi na kujenga mazingira bora kwa familia zetu na biashara zetu. Hapo...
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Anayejua chimbo la mapochi kariakoo atujuze wajasiriamali wadogo pls
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo. Kama unataka kuingia kwenye biashara...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Gari inauzwa bei TSH.21,000,000/-TU ipo kwenye hali nzuri sana ilikua inasafirishiwa mikate tu ,mwenyewe kapatwa na shida ya ghafla anauguliwa ,ukihitaji kuiona ipo maeneo ya kigamboni maelezo...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Back
Top Bottom