Msaada: Car wash inayoweza kufua viti na carpet

political Engineer 2

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
291
705
Wadau naomba mnielekeze wapi Kwa dar naweza pata Car washi inayoongoza kwenye uoshaji wa gari na kung'oa VITI kuisafisha ikarudi kwenye upya wake?

Gharama si tatizo please
 
Wasiliana na hii namba 0783 971 556 kijana wa Car wash huyo Atakupa maelekezo yote wanafanyaga hiyo huduma,car wash Yao ipo Ubungo plaza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom