Pata biblia na Quran za kusikiliza (audio) katika lugha mbalimbali za kitanzania :

wigo

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
913
501
AUDIO BIBLE KISWAHILI.png AUDIO KURAN KISWAHILI.png

Pata biblia na Quran za kusikiliza (audio) katika lugha mbalimbali za kitanzania :

Biblia zipo katika Lugha zifuatazo:-
1. KISWAHILI
2. KICHAGGA
3. KISUKUMA
4. KIGOGO
5. KINYAMWEZI
6. KINYAKYUSA
N.K

Pia tunazo Quran za Audio katika Lugha za Kiswahili na english.
Zipo katika Audio na ,Zinapatikana nchi nzima, Dar es salaam na mikoani,
Wasiliana na :
WIGO
MOB: 0656 579305
: 0684 579305
: 0757 579305
email: wigotz@gmail.com
fb: www.facebook,com/wigotz
 
View attachment 108617View attachment 108618

Pata biblia na Quran za kusikiliza (audio) katika lugha mbalimbali za kitanzania :

Biblia zipo katika Lugha zifuatazo:-
1. KISWAHILI
2. KICHAGGA
3. KISUKUMA
4. KIGOGO
5. KINYAMWEZI
6. KINYAKYUSA
N.K

Pia tunazo Quran za Audio katika Lugha za Kiswahili na english.
Zipo katika Audio na ,Zinapatikana nchi nzima, Dar es salaam na mikoani,
Wasiliana na :
WIGO
MOB: 0656 579305
: 0684 579305
: 0757 579305
email: wigotz@gmail.com
fb: www.facebook,com/wigotz

Jitihada nyingi tunazofanya hapa duniani ni kwa sababu ya kutaka kurahisisha maisha. Mabadiliko makubwa na uvumbuzi wa kisayansi unafanyika kwa sababu binadamu tunatafuta njia za kufanya maisha yawe rahisi na bora. ​
 
Mpwa kuwa nazo you mean mnaziuza au mnatoa bure? Kindlyu clarify niwanunulie Wapwa zangu hawa maana wamekuwa wavivu sana wa kusoma neno MANI na zumbemkuu
 
Last edited by a moderator:
Mpwa kuwa nazo you mean mnaziuza au mnatoa bure? Kindlyu clarify niwanunulie Wapwa zangu hawa maana wamekuwa wavivu sana wa kusoma neno MANI na zumbemkuu
ahahahaha! kweli tumekuwa wavivu sana wakusoma neon la Mungu,tena inabidi hizo audio waziwekee na mziki mwembaba wa lege ili watu wapate hamu ya kusikiliza zaidi.
 
Hofu yangu ni kuchakachuliwa tu, maana kila inapozidi kutafsiriwa ndiyo maana halisi inapokuwa hatarini kupotoshwa.
 
Ungenisaidia kuweka hapa jamvini tafsiri ya quran inavohamasisha waumini wake kushambulia wasio waislamu ningefurahi sn
 
Back
Top Bottom