D DAVIES JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 516 Reaction score 90 Aug 23, 2013 #1 habari wana jf Naombeni mwenye kuweza kunielekeza jinsi ya kuunganisha blackberry torch internet kwa tigo. natanguliza na shukrani zangu
habari wana jf Naombeni mwenye kuweza kunielekeza jinsi ya kuunganisha blackberry torch internet kwa tigo. natanguliza na shukrani zangu
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Aug 23, 2013 #2 mkuu kama hiyo simu ni mpya nadhani kuna configuration inabidi wakuwekee Tigo. Unless kama nimekosea ngoja wadau waje kukupa maujuzi
mkuu kama hiyo simu ni mpya nadhani kuna configuration inabidi wakuwekee Tigo. Unless kama nimekosea ngoja wadau waje kukupa maujuzi