Lina ekari 30,lipo along barabara ya Mkuranga-Kisarawe Road,100 mita kutoka shamba la Mama Salma kikwete.Umeme ushafika kijijini Hoyoyo.Linafaa kwa kuweka shule,yadi au kiwanda na kwa watu wa Real...
Natafuta chumba cha kupanga, kinondoni, sinza, maeneno ya mwenge, na msasani. kiwe masterroom, hali nzuri, kinafikika kwa urahisi na kisiwe uchochoroni.Kuna mdau bachelor anahamia dar hivyo...
Wadau,
Photocopy mpya kabisa INAUZA,hutajuta kununua..Imetumika miezi 3 tu...bei ni 1.5 m,nauza kwa sababu nabadilisha biashara.
Kama unaitaka piga 0767205419.
Mahali ilipo;Ubungo Dar es saalam...
tunauza kiwanja chetu kikubwa wastani goba kwa shilingi million 18 tu. kimepimwa NA kiko karibu NA barabara. ukitaka kukiona inaruhusiwa wakati wowote. utajiridhisha kwa namna yoyote NA...
StanBic utaratibu mlio weka mwezi huu unatutesa. tunalala njaa , check inaletwa tarehe 18 ili wafanyakazi tarehe 21 tuwe tumepata mshahara mpaka sasa mshahara bado, wengine hatuna pesa. mnasema...
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 3081 kilichopo Block F eneo la Mwangaza Dodoma jirani na reli usawa wa Martin Luther School kwa bei ya Sh. 8,000,000/= (terms 33yrs). Eneo hili lipo...
Nyumba inauzwa. Ipo Chanika Msumbiji karibu na barabara kuu ya daladala. Kiwanja kina ukubwa wa 25 kwa 16 na pia kina hati ya Serikali ya mtaa. Nyumba hiyo haijakamilika ipo kwenye lenta.
Bei Sh...
Kiko Mbutu Kata ya Somangila Kigamboni Kilomita 26 kutoka feri ukubwa miguu 90 kwa 40. The property was legally acquired through willing seller and buyer. Sihitaji dalali wala bond its Cash non...
Viwanja Viwili vinauzwa haraka Eneo la Kwembe Kati ili Vijana Waende Vyuoni.
Cha kwanza ni Saizi 42 x 32 Bei niShs Millioni 15,
Cha Pili ni Saizi 25 x 50 bei ni shs 14 Millioni. Hiki...
Nahitaji hiyo tab haraka wakuu...me nipo Arusha,iwe katika hali nzuri na I we nyeupe au nyeusi...mwenye nayo aweke picha details na bei hapa au anipm...
Wadau natumaini hamjambo, kuna haya mafunzo ya pekee sana tumepanga kuyatoa maalum kwa vijana na wote wahitimu, wanaoendelea na masomo vyuoni na vijana wote wenye nia na moyo na ujasiriamali...
Wadau nauza incubator toka U.K, zipo za aina mbili,aina ya kwanza ina uwezo wa kutotolesha mayai 176 kwa wakati mmoja ambayo bei yake ni 550,000/= na nyingine ina uwezo wa kutotolesha mayai 24...
Vinanda vipya na adapter vinauzwa YAMAHA PSR-S600 bei 950,000 Tshs
Kinafaa kwa matumizi ya kanisani na bendi pia
Call 0758 401046 au niandikia giddy@mybridge.biz