Nauza photocopy machine ir 2420

Nauza photocopy machine ir 2420

KALITHERMAL

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
81
Reaction score
8
Wadau,

Photocopy mpya kabisa INAUZA,hutajuta kununua..Imetumika miezi 3 tu...bei ni 1.5 m,nauza kwa sababu nabadilisha biashara.

Kama unaitaka piga 0767205419.

Mahali ilipo;Ubungo Dar es saalam

Asante sana...
 
Weka picha mkuu tuone.
 
Weka picha mkuu tuone.

canon_ir2420_1.jpg
 
Mkuu,

milion moja inanikata mkuu...ningependa kukuuzia lakn
 
Acha kuuza uza vitu wewe..tunza fotokopi hiyo waje kitinia watoto wako
 
Mkuu,

milion moja inanikata mkuu...ningependa kukuuzia lakn
 
Nzuri kweli, ubungo maeneo gani, Milioni moja huwezi kuchukua? maana tayari ni used.

Nafikiri ameweka namba yake sa simu.... mbananishe huko... hapa lazima arushe miguu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom