iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
Wakuu nimezoea kuona haya madilisha ya aluminium ya rangi mbili nyeusi na nyeupe na hata kama utaona rangi tofauti kwa watengenezaji hazipo kama kuna mtu anafanya hii kazi na yupo mwanza tujulishane ili ninunue