Salih
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 685
- 496
WanaJF natumai ni watu walioenda Shule na wenye Pro zao, yyt mwenye Dili anitonye linalohusu MECHANICS, DRILLING(MGODINI), au MARKETING RESEARCH OPPORTUNITIES, nilikuwa napiga kazi Mgodini NORTH MARA(NYAMONGO) sasa kushuka kwa Soko la dhahabu ma-Miner wengi tuko home mpk mambo yatakapokuwa poa, so kwa muda mfupi huu still sina cha kufanya