Ni ipi ipo juu?

Ni ipi ipo juu?

Switone

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
120
Reaction score
47
Plz help me to know ni simu ggani kiwango na ina heshima mjini kati ya Samsung galaxy, Iphone and Blackberry..
 
Hivi simu nayo inaleta heshima mjini?...umri.
 
Hivi simu nayo inaleta heshima mjini?...umri.

Inategemea anaenda kutafuta heshima kwenye community gani mkuu.
Yawezekana anaenda nayo kule .................. kwa yule mbunge wetu anaeongoza kwa siasa maji taka dhidi ya C..M.
Huwezi jua.
 
Back
Top Bottom