sir Ganto G
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 573
- 114
Msaada wadau nimenunua muda wa maongezi mkubwa kuliko niliokuwa nahitaji kupitia M-PESA.
Nilikuwa nahitaji 10000 bahati mbaya nikanunua wa laki moja.Kama kuna mdau amewahi kutana na hii kitu tafadhali nishauri.