Mastering AutoCAD COMPUTER AIDED DESIGN BASIC

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2009
Posts
2,089
Reaction score
829
Wakuu salamu
kama kichwa cha habari kinavyoeleza kwa yeyote ambaye angependa kujifunza AUTOCAD BASIC as aided design kwa ajili ya kazi zako za kila siku hasa kwa TECHNICIANS NA ENGINEERS unaweza nitafuta muda ni wikiend kwa yeyote atakayeguzwa anaweza kunitumia private message(PM) tukarrange utaratibu
napatikana dar ..
 
Mkuu unapatikana kwa namba zipi? Naomba niPM namba zako
 
Back
Top Bottom