Gawio deci

Gawio deci

famba

Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
71
Reaction score
4
Wana JF mim ni muhanga niliyepanda DECI, Laki 6. Vp hawa jamaa wataturudishia kweli pesa zetu???. Isitoshe sikuvuna hata siku 1
 
Watu wanapanda mahindi nyie mnapanda pesa
 
Kutapeliwa kienyeji kihivyo haifai. Hivi ukiwa na tindi-k kwenye kikopo ukambana mmoja wao kona fulani, huwezi rudishiwa mbegu zako na riba juu?
 
Hahahaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wakristo tunapanda makanisani ili kutafuta ushirika na Mungu katika kazi za mikono yetu,wenzetu mnapanda kwa wanadamu wenzenu ili mvune nini?
Angalia sasa majuto ni mjukuu !
 
Subiri kama tunavyosubiri kiama au kuja kwa Yesu mara ya pili
 
Wakristo tunapanda makanisani ili kutafuta ushirika na Mungu katika kazi za mikono yetu,wenzetu mnapanda kwa wanadamu wenzenu ili mvune nini?
Angalia sasa majuto ni mjukuu !

hata DEcI walipandia kanisani mkuu
 
Wana JF mim ni muhanga niliyepanda DECI, Laki 6. Vp hawa jamaa wataturudishia kweli pesa zetu???. Isitoshe sikuvuna hata siku 1

kama mvua hazikunyesha kutakuwa na mavuno kweli famba?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom